MASTER GUIDE ZINGATIA HAYA....

Katika chama cha Pathfinder club tuna paswa KUZINGATIA mambo makuu manne.......kwanza
  • Uwezo wa wanafunzi kupenda chama kwa dhati.
  • Uwezo wa wanafunzi na chama kwa ujumla kujua mwelekeo au malengo ya chama.
  • Kutokata tamaaa kwa waalimu na wanafunzi pale mambo yanapo kuwa magumu.
  • Mafundisho bora yakuwajenga wana chama.........Hapa nazungumzia uwezo wa wana chama kupenda mambo unayo wapa na kuyafanya kwa bidii sana ili kufikisha malengo yao.
  • Lamwisho kabisa ni kumshirikisha MUNGU katika mipango


Sasa wakati mwingine waalim au master guide wanalalamila sana eti chama hakikui lakini nikutokana na kutozingatia kanuni za uongozi wa chama cha cha PFC. Katika kipindi kijacho tutazungumzia kanuni mbalimbali za uongozi ili uwe na chama bora kabisa kinacho mtukuza MUNGU.

Comments