NJIA NANE ZA KUWA NA PFC BORA!

Ndugu mfuatiliaji wa blog yetu ya iplink karibu tena katika mfululurizo wa mambo mbalimbali kuhusu chama cha PATHFINDER CLUB. Leo nataka tukumbushane mambo manane ya kuweza kuzingatiwa ili kukuza chama cha PFC .

  • Kumcha MUNGU
  • Ibaada
  • Maombi
  • Malengo ya chama
  • Ushirikiano
  • Nidhamu ya chama ( hii ni kwa mwalim na wanafunzi)
  • Vifaa vya chama
  • Ubunifu.UKIWEZA KUZINGATIA MAMBO HAYA NAAMINI UTAKUWA NA CHAMA BORA CHENYE MAFANIKIO KWA KANISA NA HATA KWA JAMIi

Comments