Master guide na maombi!

Kubwa kiongozi wa vijana au master guide, hata vyeo vingine kama kiongozi mwadiventista ni jukumu zito sana ambalo linaitaji unyenyekevu na MAOMBI bila kusahau HEKIMA itokayo kwa MUNGU. TAFADHALI KUWA MTU WA MAOMBI.

Comments