Nikatika kambi kubwa sana la kibidula nchini Tanzania ambapo limeudhuliwa na idadi kubwa ya watafutanjia kutoka nchi mbalimbali zipatazo 11 zikiwemo za Afika mashariki. Kambi hili limehudhuliwa na wachungaji mbalimbali kwa idadi kubwa zaidi kuliko kambi lolote hapo kabla.Moja kati ya wachungaji hao ni mchungaji DR Baraka muganda kutoka chuo kikuu cha Worthington amewataka vijana kutoliacha kanisa la waadventista wasabato hayo yamesemwa Siku ya ibaada jumamosi wakati was ibaada.



Comments