VYAMA VIJANA KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO VIKiWA KATIKA MGAWANYIKO KWA UMLI TOFAUTI TOFAUTI YAANI AY , MABAROZI,PFC NA AC NI MUHIMU SAANA KWA KANISA NAHATA VIJANA WENYEWE KWAUJUMLA.Hayo yamesemwa na vijana wa dovya wakiwa wakiwa katika sabato yaleo tarehe 17/12/2017. KANISA hili linaongozwa viongozi vijana na wengine wakiwa ni wazee wakanisa hili. Hivyo basi wanatoa wito kwa makanisa yote TANZANIA na AFRICA MASHARIKI kuwainua vijana kwa maana ndo msingi wa kanisa. Pia wametoa wito kwa waalimu wa PFC na AC wakijumlishwa na masterguide wote kuwa nimuhimu kufundisha masomo yatakayo wasaidia wafunzi kupambana na mazingila halisi, maneno hayo yamesemwa na mzee vijana wa kanisa, so hayo tu wanasema vijana NI lazima kuvipenda vyama hivi vya PFC na AC kwani ndio wokovu wao kupitia yesu kristo katika ULIMWENGU HUU WA DHAMBI
Comments
Post a Comment