UBATIZO WA KBIDULA WA PFC 200

Taarifa zilizotufikia hivi punde kwa ubatizo uliofanyika katika camporee hii watafuta nji zaidi ya 200 wamempokea yesu kama BWANA na MWOKOZI wa MAISHA yao. MUNGU aendele kuwalinda AMEN!

Comments