CHINA NA PFC NI HATALI SAAANA.

Kama ulivyo hada Leo nataka tuzungumzie swala LA hubunifu zaidi tukiwatazama wenzetu wachina. Kanisa kuu LA nchini China limeweka mikakati mbalimbali kwa ajili ya kukuza chama cha PFC,zaidi wameanzisha tuzo mbalimbali kwa ajili ya vyama ambavyo vina Fanya vizuli kiprogram, kwata au Gwaride,chama bora cha mwaka na tuzo nyinginezo nyingi.Hii imewasaidia sana katika kuwajenga vijana ili kusambaza neno LA mungu.Mbali na hayo waalimu wanashauliwa saana KUWA wabunifu na kushirikiana na waalim mbalimbali katika kukuza vya hivi.(unaweza wasiliana nasi ili tukupe ushauli wa kuboresha chama chako BURE.)
Hii nisiku ambayo ilikuwa rasmi kwa ajili ya uzinduzi wa utoaji wa tuzo hizo kwa idara ya vijana nchini China.(picture by iplink7)

Comments