Katika misingi muhimu katika chama cha pathfinder,mmojawapo ni maombi au ibaada.chama cha PFC nilazima kijenge katika misingi ya ibaada thabiti kwa ajili ya kujenga na kukuza roho za vijana hawa.
Sasa tuone mbinu mbalimbali za kuwa na ibaada au maombi yenye MAFANIKIO kwa vijana hawa............
- Kutambua kusudi la maombi kwa vijana hawa.
- Kuwa na maombi ya kujifunza BIBLIA kwanza.
- Kuwashirikisha vijana katika kujadili somo hili.
- Kutoa kusudi la MUNGU katika somo hili kwa vijana
- Kuwashirikisha PFC katika kutoka somo muda wa ibaada.(KUMBUKA) kufanya hivi kutawajenge ujasili wa kufanya program zao kwa ujasili, unajua uwezo wa mtoto katika chama ili umsaidie kumtumikia MUNGU kwa ufasaha, italeta umoja katika chama chako, itaondoa tabia zisizo faa katika chama kama UZINZI,vijana watakuwa karibu nasaraba wa kristo,itawafanya pathfinder kupenda chama chama chao pia MUNGU atawabariki saanaa AMEN.
- Kuwa na ibaada ya kufunga na kuomba kwa vijana wote.

Comments
Post a Comment