MAFANIKIO YA IDARA YA VIJANA.

Katika idara ya vijana MAFANIKIO mengi hupatikana ya kifamilia,kiuchumi nahata ya kiafya lakini msingi wake unajengwa katika kukaa nakutulia katika chama bila kusahau miguuni pa yesu. Tumeshuhudia watu wengi wakipata wachumba katika chama,nakujenga familia bora kanisa zinazo mtukuza MUNGU.
pia katika kufundisha nishani mbalimbali waalim wanashauliwa kufundisha nishani ambazo zina manufaa katika kuinua fikra na kumbambanua mambo katika jamii zinazo wazunguka kama nishani ya mshumaa,Maua,pia huduma ya kwanza ili tuweze kuisaidia Jamii zetu.

Comments