NIKIWA PFC NITAJIVUNIA NINI?

Ndugu mfuatiliaji wa blog ya iplink,tulishawahi kuzungumzia kuhusu ufundishaji wa nishani kuwa tufundishe nishani zenye manufaa kwa watoto au vijana na katika jamii kwa ujumla.

Sasa Leo naomba tuangalie kuhusu  program mbalimbali za PATHFINDER Club (kwata,uimbaji pamoja na program ambazo hutolewa mbele ya kanisa)
sasa,program zote hizo zina umuhimu kwa kanisa na kwa vijana kwa ujumla.Lakini tumeshuhudia baadhi ya vyama,vina jikita tu katika upande mmoja wa misingi hiyo mfano mzuli makanisa mengi,PFC wake hujikita sana katika kwata ambacho hufanya chama KUWA dhohofu.
alikadhalika mambo hayo master guide na waalimu wa idara ya vijana kwa ujumla wake tunawashauli kufundisha nishani na makadi ili wapate PIN, hii itawafanya KUWA na jambo LA kujivunia pale wanapokuwa watu wazima.MFANO MZULI ni utoaji wa PIN,NISHANI pamoja na VYETI.sio tu kuwajenga vijana kiukakamavu na uimbaji bila kuwapa misingi imara kwa ajili ya maisha yao.

Comments