Skip to main content
- Nidhahili kwamba makanisa mengi ya waadventista wasabato yalio na idara ya vijana na hasa PFC, AC hivi vyama kwa mujibu wa utafiti tulioufanya na ambao ni ukweli unadhihirisha kuwa "Idara ya vijana hukuwa kwa kasi na kufa kwa muda mfupi sana" unajua inatokana na mini? Anza kujua hili.....
- Misingi mibovu ya uanzishwaji chama.
- Kutokuwa na malengo madhubuti na ya huakika kwa chama.
- Nidhamu mbovu ya waalimu na wanafunzi.
- Kuridhika kwa chama kutokana na MAFANIKIO machache.
- Upinzani kwa wazazi na kanisa kwa ujumla.
- Ujuaji kwa viongozi wa chama.
- Maombi na ibaada mbovu.
- Kiburi kwenye chama.
- Uongozi mbaya wa chama.
- Ukosefu wa Elimu(personal and club skills)
- Kutokuwa mbunifu.Ukifuatilia na kujiepusha na mambo hayo utakuwa na chama bola saaana.
Comments
Post a Comment