Katika maisha ya ukristo chama cha pathfinder club ni moja kati ya njia ya uongofu kwa vijana. Hii nikutokana na magundisho mbalimbali yanayo tolewa na vijana ambayo hurainisha mioyo ya vijana hawa, hivyo basi wajibu wa dhati na mipango madhubuti iwekwe ili kuwasaidia vijana kuukaribia MSALABA WA KRISTO.
si hivyo tu waaulim wanapaswa kuwasaidia vijana kupata ondoleo LA dhambi kwa kupata ubatizo wako wa bado katika chama cha PFC. Pia wafanye pathfinders kuwa na ROHO ya unyenyekevu katika mambo ya kristo maana tumepewa jukumu hili LA kuwaongoza vijana katika nyanja kuu tatu yaani kimwili, kijami na kiroho,lakini kubwa kanisa ni KIROHO.
Alkadhalika tunapaswa kuwajenga watoto katika TOBA ya kweli kwa ajili ya ondoleo LA dhambi. UKIWEZA KUZUNGATIA MAMBO YA KIROHO KWA VIJANA HAKIKA VIJANA WAKO WATAKUWA BORA ZAIDI KWA JAMII NA KWA KANISA KWA UJUMLA.MUNGU HAWEZI KUACHA KUKUBARIKI WEWE NA FAMILIA YAKO.....

Comments
Post a Comment