UMOJA NA USHIRIKANO.

Leo katika kanisa la waadventista wasabato BUNDA MJINI pamoja na kanisa la BARIRI wamekutana kwa pamoja kujifunza  masomo mbalimbali pamoja na kubadilisha na uzoefu katika kumtumikia MUNGU. Waalim mbalimbali walikuwepo kwenye ujuzi katika chama hiki,wameshirikiana kwa moyo wa dhati katika ufundishaji wa vijana hawa. 
(picha kamili hatuja pata) wamewataka makanisa mengine kuwa na ushirikiano katika kumtumikia MUNGU.

Comments