WIVU ..........!!!!

 Inasadikika kuwa Katika chama cha PFC waalim kwa wanafunzi wengi huwa wana tabia ya kuoneana wivu usio wakimaendeleo.sababu hii inawapelekea vyama hivi kutofanya vizuli kwa muda mrefu kwa sababu maendeleo yao hayatokani na uchaji wa MUNGU.Sisi kama IPLINK tunawaasa pathfinder wote pamoja na waalim kutooneana wivu katika kazi hii sababu nikazi ya MUNGU.Tunachopaswa ni kuwa na WIVU wamaendeleo. Nimefika katika kanisa la  BUNDA MJINI mkoani Mara wilaya ya Bunda tumekuta pathfinder wazuli wenye moyo wa kujituma katika kazi ya BWANA

Comments